Bin Telé Musondolya anaye husika na maji katika shirika la CICR mjini Goma

Huko Kivu ya Kaskazini, baada ya miezi kadhaa ya kazi ya kuchimba visima katika mtaa wa Nyiragongo, kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu CICR  ilipata maji kwa shimo ya zaidi ya mita mia mbili.  Kazi hii ya kuchimba visima inafanywa kama sehemu ya mradi unaofadhiliwa  shirika la Maendeleo na Ushirikiano ya inchi Suisse. Bin Telé Musondolya wa CICR mjini Goma anazungumziya suala hili na  Rosalie Zawadi/sites/default/files/2024-07/24072024_-_invite_sw_-_ingenieur_cicr_sur_travaux_forage_web.mp3