Shirika la kiraia mjini Goma linachukizwa na ongezeko la vitendo vya kujitendea haki au kijipiza kisasi katika mji wa Goma na mazingira yake. Matukio ya matendo haya yana athari kubwa kwa akili ya watu binafsi. Vincent Semu, mtalaamu wa kisaikolojia, hutusaidia kuelewa matokeo ya vitendo hivi." Anajibu kwa maswali ya Rosalie Zawadi /sites/default/files/2024-07/invite_sw_-_justice_populaire_web.mp3
Vincent Semu, mtaalamu wa kisaikolojia mjini Goma
Dans la même catégorie

Mchungaji Jems BIENSI : Ndugu zetu wanaoendelea kubeba silaha na kuleta maafa waachane na ile maneno
19/02/2025 - 16:46
L'invité swahili, Émissions /