Mwanasheria Omar Kavota : Yule ambaye anatumia Watoto kama ngao ya kivita anaweza kufuatiliwa mahakamani

Siku ya Kimataifa ya Kupinga Kuajiri na Kutumiwa kwa Watoto na Vikosi vya Wanajeshi na Vikundi vyenye kumiliki silaha iliadhimishwa siku ya kwanza tarehe kumi na mbili Februari. Je, hali ya watoto waliosajiliwa katika makundi yenye silaha katika tarafa la Beni ikoje na Mpango wa Kupokonya Silaha, Uhamishaji, Uokoaji na Utulivu kwa Jamii (PDDRCS),  na ni mbinu gani zimeanzishwa ili kuzuia viongozi wa makundi yenye kujihami silaha kuwaachilia watoto hawa? Tunazungumza juu yake na Mwanasheria Omar Kavota, mkuu wa tawi la PDDRC-S katika tarafa la Beni katika mahojiano haya na Marc Maro Fimbo.

/sites/default/files/2025-02/250225-p-s-inviteomarkavotapddrcsbeni-00-web.mp3