Mgeni wetu ni Omar KAVOTA, mkuu wa Mpango wa Kupokonya Silaha, Uondoaji, Urejeshaji wa Jamii na Uimarishaji (PDDRC-S) / Beni huko Kivu Kaskazini. Pamoja naye, tutazungumiza tathmini ya maendeleo ya mchakato huu katika eneo hilo tangu kuanzishwa kwa operesheni. Omar KAVOTA anajibu maswali ya André KITENGE.
/sites/default/files/2025-02/170225-s-fr-beniinviteomarkavotaprocessusdesarmement-00-web.mp3