Mjini Goma, mkuu wa wilaya ya Lac Vert anakataza kuchoma pori kwenye milima ya eneo hilo. Kulinfana na Dedesi Mitima,kwa kipindi hiki cha kipwa , moto unaweza kuenea katika nyumba zilizo karibu na vilima. Bwana Dedesi Mitima anazungumza na Rosalie Zawadi.