REGIDESO Maniema inapitia matatizo makubwa katika utendakazi wake. Hali hii hairuhusu kampuni hii ya umma kuhudumia raia ipasavyo. Inakadiriwa kuwa zaidi ya wakazi elfu mia ine, Regideso Maniema inasambaza tu asilimia kumi ya watu hawa maji ya kunywa. Ili kulizungumzia, tunamkaribisha Bwana MICHEL TSHIJIK, mkurugenzi wa mkoa wa REGIDESO Maniema, ambaye anaelezea mfumo wa usambazaji wa maji katika jimbo hili. Anazungumza na Florence KIZA LUNGA.
/sites/default/files/2025-02/260225-p-s-invitekindumichelthsijikregideso-00-web.mp3