Zaidi ya vijana elfu tatu, wanawake na wanaume kutoka parokia zote makumi inne na moja za eneo kuu la Bukavu walisherekea Siku zao za Vijana wa Dayosisi katika Parokia ya Burhale katika mtaa wa Walungu. Familia mia tano za eneo hilo kunako parokia hii iliyowapokea zilisaidia vijana hawa wakati wa mikutano hiyo ambayo yalidumu kutoka siku ya inne iliyopita hadi siku ya mungu. Wakati wa sherehe hiyo, Vijana hawa walizungumzia pia hali ya kijamii na kiuchumi. RosalieKwalangala, mratibu wa vijana wa dayosisi, anazungumza na Jean Kasami./sites/default/files/2024-07/invite_sw_rosalie_kwalangala_web.mp3
RosalieKwalangala, mratibu wa vijana wa dayosisi wa Bukavu
Dans la même catégorie

Mchungaji Jems BIENSI : Ndugu zetu wanaoendelea kubeba silaha na kuleta maafa waachane na ile maneno
19/02/2025 - 16:46
L'invité swahili, Émissions /