Paulin Tandema, Kiongozi wa usalama Barabarani mjini Bunia

Kiongozi wa  Usalama Barabarani mjini Bunia anawaalika wazazi kuhakikisha usalama wa watoto wao wakati wa sherehe barabarani. Paulin Tandema anatueleza kuhusu ongezeko ya ajali za barabarani mjini . Lakini pia hatua zilizochukuliwa na huduma hii ya serikali ili kuzuia ajali , haswa kipindi cha matangazo ya mitihani ya serikali . Paulin Tandema anazungumza na Ezechiel Muzalia./sites/default/files/2024-07/22_07_2024_bunia_invite_swahili_web.mp3