Goma Actif ni mkusanyiko wa watu waliojitolea, wengi wao wakiwa vijana, ambao wamekuwa katika maeneo yawakimbizi tangu kuanza kwa ukosefu wa usalama huko Kivu la Kaskazini. Watu hawa Wanatoa msaada wa chakula na dawa kwa wakimbizi , haswa watoto na wajawazito. Didier Buingo, daktari na mwanachama wa kikundi hiki atatufasria zaida katika mahodjiano haya na Sifa Maguru./sites/default/files/2024-07/20072024-p-sw_invite_goma_actif_sante-00_web.mp3