Mgeni wetu ni mkuu wa kambi ya wakimbizi ya Luvangira iliyo katika Kata Oicha Premier ya manispa Oicha, mji mkuu wa tarafa la Beni huko Kivu Kaskazini. Atatuelezea hali ya sasa ya maisha ya watu hawa waliohamishwa ambapo hata visa vya ukatili dhidi ya wanawake vimerekodiwa kwa muda. Zaburi Kisubi anazungumza na Marc Maro Fimbo.
/sites/default/files/2025-01/090125-p-s-invitebenizaburikisubideplacesoicha-00-web.mp3