Annuarité Kabuo, mwakilishi wa shirika la kimataifa la haki za mtoto, mwanamke na mwanaume mjane jimboni Maniema

Mwaalikwa wetu ni Bi Annuarité Kabuo  Anayewakilisha  shirika la kimataifa la haki za watoto, wanawake, wanaume wajane na maendeleo yao ya kijamii, jimboni huko Maniema.  Kwakujibu kwa  msaada ya kibinadamu kushu shida la ajali ya mafuriko ya mito na mvua katika mji wa Kindu,  shirika hili, liilisaidia zaidi ya familia  elfu mbili zilizoathirika kwa jupanda mbegu za kilim kwa ajili ya kuwaruhu kuendesha vema   shughuli za kilimo.  ANNUARITE KABUO anajibu ku maswali ya KIZA LUNGA./sites/default/files/2023-06/invite_swahili_web_.mp3