Marie Kabazaire, mkuu wa Shirika lisilo la kiserikali la Kukuza Wanawake kwa ajili ya Ujenzi wa Ituri


Katika jimbo la  Ituri,  offisi jimboni ya kijinsia, familia na watoto iliandaa mafunzo kwa wanawake wanaohusika na masuala ya  amani na usalama jimboni. Lengo ni kuwashirikisha kwa utaftaji wa  amani ya kudumu. Mradi unaoungwa mkono na shirika ya umoja ya mataifa inayohusika na mwanamke yani Onu-femme , Ubalozi wa Norvege  na MONUSCO. Marie Kabazaire, mkuu wa Shirika lisilo la kiserikali la Kukuza Wanawake kwa ajili ya Ujenzi wa Ituri anazungumza na Jean Claude LOKY DILE./sites/default/files/2024-07/inviteeswahilibunia_web.mp3