Ni nini lazima kifanyike ili kuepuka visa vingi vya moto ambavyo vimeenea katika mji wa Bukavu? Jean Moreau TUBIBU, mwanemba wa Kikundi cha Jeremie, anapendekeza kwa viongozi kutekeleza mipango ya ujenzi bora wa mji. Jean Moreau Tubibu anazungumza na Jean Kasami./sites/default/files/2024-07/invite_swahili_jean_moreau_tubibu.mp3