Kapend Kamand Faustin, Meya wa mji wa Goma

Meya wa Goma aliwasilisha siku ya mungu  asubuhi kundi la watu wanaodaiwa kuwa wahalifu. Hii baada ya wiki ngumu mjini ikiwa ya  mauaji, wizi na ufyatuaji risasi nzito nyakati za usiku katika vitongoji kadhaa. Je, meya anafanya uchambuzi gani kuhusu hali ya usalama katika mjini wa Goma? Kamishama Kapend Kamand Faustin anajibu katika mahojiano haya na Rosalie Zawadi./sites/default/files/2024-07/maire_de_goma_web.mp3