Journal Matin

Habari z'asubuhi 06 Februari, 2025

  • Kinshasa : Waziri wa Mambo ya Nje wa Kongo anashutumu kutoathibiwa kwa  Rwanda na washirika wake wenye nguvu zaidi, wakiwemo Umoja wa Ulaya katika mauaji ya mashariki mwa Kongo." Alisema hayo jana siku ya tatu wakati wa mkutano usio wa kawaida wa bunge la Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya mjini Brussels, inchini Ubelgiji
  • Kinshasa : Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, CPI,  inaomba kwa haraka ushirikiano na kuwasilisha taarifa kutoka kwa washirika wote kuhusu hali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wito huu  unatolewa katika tangazo
  • Bandundu: Mgogoro wa ardhi umezuka hivi punde kati ya mji wa Kikwit na tarafa la Bulungu katika jimbo la Kwilu. Hali ambayo inaweza kusababisha vitendo vya vurugu kati ya maeneo hayo mawili, anasema mkuu wa kitengo cha mambo ya ndani na usalama wa mkoa./sites/default/files/2025-02/060225-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3