Emile Abdulu Demuze : Hatuna masomo, hospital, barabara

Leo tunamkaribisha Emile Abdulu Demuze . Yeye ndiye msimamizi anayesimamia masuala ya kisiasa na kiutawala katika tarafa la Kailo. Anatueleza hali ya maisha ya wananchi wa Kijiji cha LONYOMA kilicho kwa umbali wa kilomita sita kutoka cha Kailo-Kati. Akiongea na Florence Kiza Lunga wakati wa ziara yake ya kutembelea mazingira haya wakati wa uzinduzi wa kazi za ukarabati wa barabara ya Taifa namba makumi tatu na moja inayounganisha Maniema na TSHOPO.

/sites/default/files/2024-12/171224-p-s-invitekinduemileabdoullonyoma-00-web.mp3