Catherine Kahindo : Watoto chini ya miaka 18 hawastahili kuingiya kwenye vikundi vya jeshi ao wazalendo

Entrée de la localité de Mbau dans le territoire de Beni au Nord-Kivu. Radio Okapi/Photo Marc Maro Fimbo.
(Photo d'illustration)

Mgeni wetu ni afisa wa ulinzi wa watoto katika sekta ya Beni-Mbau katika tarafa la Beni ambaye atazungumza nasi kuhusu hali ya ulinzi wa watoto katika eneo hili la utawala cha tarafa hilo la Beni ambapo kuna takriban vikundi makumi ine vyenye silaha vinavyoajiri watoto. Catherine Kahindo, akiwa katika mazungumzo na Marc Maro Fimbo.