Cecilia Vay : Chupa za plastiki zinazotumiwa kwa uwingi zinaharibu mazingira

Vue des collines entourant la ville de Bunia dans la province d'Ituri. Juin 2024
Radio Okapi/Ph. Jonathan Fuanani(Photo d'illustration)

"Udhibiti sahihi wa taka za plastiki katika jiji la Bunia unahitaji viongozi wa jiji kuanzisha brigedi ya usafi ili kukabiliana na matumizi mabaya ya taka katika jiji hilo."  Hivi ndivyo Bi Cecilia Vay, mratibu wa shirika la « Dieu n’a jamais menti », ambalo linafanya kazi ya kubadilisha taka za plastiki kuwa mawe ya kuweka mazingira katika jiji hilo. Ilikuwa katika kuadhimisha  Siku ya Kimataifa ya Taka ziro, inayoadhimishwa tarehe makumi tatu Machi kila mwaka. Anazungumza na Ezechiel MUZALIA.