Mateus KANGA: Tuko tayari kupigana ju ya inchi yetu

Mgeni wetu ni Mateus KANGA, mkuu wa bunge la mkoa wa Tshopo. Pamoja naye, tunazungumzia suala la uzalendo katika kipindi hiki cha vita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Akiwa mkuu wa chombo cha majadiliano cha Tshopo tangu mwanzo wa bunge la sasa, anaongoza kampeni ya mwamko wa kizalendo miongoni mwa vijana na Wakongo wote wapenda amani. Kulingana naye, katika kukabiliana na migogoro ya silaha, Wakongo lazima wabadili fikra zao kwa kutanguliza upendo kwa nchi. Mateus KANGA anaeleza katika mahojiano haya na André KITENGE.

/sites/default/files/2025-04/090425-p-s-invitebenimateuskangapresiassaprotshopo-00-web.mp3