Daktari Gabriel Shamavu : Mtoto kuzaliwa na tatizo la kromosomu sio kosa la wazazi au la mtu mwingine

Tuelekee Ituri ili kukutana na mkuu wa idara ya magonjwa ya watoto katika kliniki ya Cliniques universelles huko Bunia, mji mkuu wa jimbo hilo. Daktari Gabriel Shamavu anazungumza nasi kuhusu ugonjwa wa tatizo la kuzaliwa (Trisomie 21 kwa kifaransa ) kutokana na idadi kubwa ya kromosomu. Katika mahojiano haya, anazungumzia sababu zinazoelezea ubaya huu, ishara, lakini pia matokeo ya maendeleo na ustawi wa mtoto. Daktari Gabriel Shamavu akiongea na Ezechiel MUZALIA.

/sites/default/files/2025-04/080425-p-s-invitebuniadrgabrielshamavutrisomie21-00-web.mp3