Bishop Félix PONYO KIHUWACHANGA : Inawezekana amani ikarudia

Mgeni wetu ni Askofu Félix PONYO KIHUWACHANGA. Yeye ndiye rais wa mkoa wa jumuiya ya makanisa yaliyoungana ya Uamsho. Anarejea kwenye maandamano ya kuunga mkono jeshi la Kongo iliyoandaliwa Kindu na mashirika ya kiraia ya Maniema. Maandamano ambayo yaliungwa mkono na Bunge la Mkoa, serikali ya mkoa na mashirika yote muhimu vya Maniema. Ilikuwa kwa kusema hapana kwa uchokozi wa Rwanda. Askofu Félix PONYO KIHUWACHANGA anazungumza na Florence KIZA LUNGA.

/sites/default/files/2025-02/060225-p-s-invitekindufelix_ponyomarche-00-web.mp3