Kanali YASINE NDORELIRE : Watu hawapendi kuheshimu sheria ya nchi yao

Watumiaji wengi wa barabara na madereva wa magari na pikipiki hawaheshimu taa za trafiki kwa kanuni za trafiki katika jiji la Bunia. Wengine hawajui kabisa maana ya rangi tatu za taa za trafiki, yaani kijani(vert), njano(jaune) na nyekundu(rouge). Hali ambayo ndiyo chanzo cha ajali na msongamano mwubwa wa magari jijini. Kamanda wa polisi wa trafiki barabarani huko Ituri, Kanali YASINE NDORELIRE, anazungumza juu ya mada hii na Isaac REMO.

/sites/default/files/2024-12/181224-p-s-invitebuniacolyasinendorelirepcr-00-web.mp3