Dieudonne Kalunga Barwani: Wakubwa wa serikali wafuatilie vitendo vinavyotendeka katika Kata Abbattoir

Vue de la ville de Kalemie, au bord du lac Tanganyika. 2024
Radio Okapi/Ph. Paulin Munanga(Photo d'illustration)

Katika mji wa Kalemie, Kata Abattoir ni ngome ya vijana wahalifu ambao wanatia wasiwasi raia. Mkuu wa kitongoji anasema kuwa vijana hawa wanafanya uhalifu wao bila kuadhibiwa kabisa. Wameanzisha ngome yao kwenye daraja la Lukuga, kunyang'anya mali za wapita njia na kuwashambulia watu wengine. Dieudonné Kalunga Barwani ndiye mgeni wetu, anazungumza na Paulin Munanga.