Journal Soir

Habari za jioni 7 Aprili, 2025

  • Kinshasa : Trafiki imeanza tena hii Siku ya kwanza kwenye daraja N’djili ambako watu walikwama tangu siku ya sita kutokana na mafuriko ya maji ya mto N’djili.Watu wengi wamefariki dunia na mali nyingi kuharibika. Serikali inatangaza kuchukua hatua ili kuzuia hali kama hiyo katika siku zijazo
  • Bunia : Huko Ituri, watu wengi wanakufa katika kambi ya wakimbizi ya Kigonze mjini Bunia tangu mwanzoni mwa mwaka huu kutokana na ukosefu wa huduma bora za afya. Redio Okapi ilitembelea kambi hiyo hii siku ya kwanza tarehe saba aprili, siku ya kusherekea afya duniani./sites/default/files/2025-04/070425-p-s-journalswahiilisoir-00-web.mp3