Anaclet Asiwa : Watu wengi hawajui umuhimu wa uthibiti kiufundi wa gari na pikipiki

Katika jiji la Beni katika Kivu Kaskazini: ni magari elfu moja  Makumi mbili na moja tu kati ya maelfu ya jiji hilo yamepitisha ukaguzi wa kiufundi mnamo mwa elfu mbili makumi mbili na moja. Takwimu hii ilifunuliwa na Anaclet Asiwa, fundi katika maabara ya kiufundi ndani ya kituo cha udhibiti cha Beni  « Congo Project Consult ». Kulingana naye, ukosefu wa ufahamu na uzembe wa wamiliki wa magari ndio sababu za kiwango hiki kidogo cha udhibiti. Anaclet Asiwa anatupa ufafanuzi zaidi katika mahojiano haya na Marc Maro Fimbo.

/sites/default/files/2025-02/050225-invitebenianacletasiwatechnicienlaboratoirecentredecontroletechnique-00-web.mp3