Sylvie Ngankoy : Tukonaleta usafi na kulinda pori

Mgeni wetu ni Sylvie Ngankoy, mratibu wa shirika la ndani linaloitwa « Sœurs pour le Développement Ecologique et Transformation’’.  Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, kama sehemu ya shughuli zake, imeanzisha mradi wa kubadilisha taka za nyumbani kuwa briketi za kiikolojia. Katika mahojiano haya na Denise Lukesso, anaelezea malengo ya mradi huu na kuomba msaada.

/sites/default/files/2025-02/040225-p-s-invitegomasylvie_ngankoy-00-web.mp3