Ketya Ngomora ni msichana mdogo anayefanya kazi katika chama cha wawezeshaji wa bidhaa na huduma muhimu. Muundo wao unafanya kazi katika kituo cha mpaka cha Ruzizi 2 kwa namna ya wakala. Anazungumzia matatizo wanayopata kwa kuvusha unga wa mahindi na muhogo kutoka Rwanda hadi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Jean Kasami alikutana naye kazini kwenye mpaka wa Ruzizi 2 huko Bukavu.
/sites/default/files/2025-01/080125-p-s-invitebukavuketyangomoradouaneruzizi2-00-web.mp3