Max Kandolo : Wauzaji wengi wa kahawa wanauza inje ya inchi kwa njia isiyo halali.

Asilimia makumi nane ya kahawa ya kutoka Jimbo la Ituri inaepuka mzunguko wa kawaida wa kuuza nje ya inchi. Hivi ndivyo alivyosema mkuu wa ofisi ya habari za kibiashara katika kituo cha forodha cha Mahagi. Sababu ni ukosefu wa usimamizi wa wakulima, kulingana na chanzo hicho. Kwa upande wake, mkurugenzi wa mkoa wa ONAPAC, Max Kandolo Lusele, anahalalisha upungufu huu mkubwa kwa nchi kuwa na mipaka inaingiwa hata kinyume na sheria. Katika mahojiano na Sadiki Abubakar, Max Kandolo anazungumzia kuhusu juhudi za serikali kubadili mwelekeo huo. Fuata!

/sites/default/files/2025-01/070125-p-s-invitebuniamaxkandolocafe-00-web.mp3