Kituo cha Maendeleo Vijijini cha Kibututu "CEDERU" kilizindua siku ya sita mradi wa kusaidia maisha ya jamii za mitaa na kuboresha mazingira katika mitaa tatu ya afya ya Jiba katika tarafa la Djugu. Mbinu hii inalenga kurejesha hali ya maisha ya watu waliokimbia makazi yao na waliorudishwa walioathiriwa na migogoro ya silaha na wanaoishi katika umaskini katika eneo hili. Msimamizi ahusikaye ufuatiliaji na tathmini wa shirika hili Dieu Merci Banakwa ndiye mwalikwa wetu. Anazungumza na Ezechiel MUZALIA.
/sites/default/files/2024-12/041224-p-s-invitebuniadieumercibanakwacederu-00-web.mp3