Huko Bunia, mazoezi ya michezo yanaongezeka zaidi na zaidi katika mji mkuu wa jimbo hilo. Watoto, vijana na wazee wanafurahia kutembea, kukimbia au shughuli nyingine za michezo katika kumbi za mazoezi. Je, ni faida gani za michezo? Je, kuna hatari zozote za kuitumia bila ushauri wa awali kutoka kwa mtaalamu wa afya? Maswali yamejibiwa na Daktari Charles Kisamba, kutoka kitengo cha matibabu cha MONUSCO. Anahojiwa na Jean Claude LOKY DILE.
/sites/default/files/2024-12/031224-p-s-invitebuniadrcharleskisambasport-00-web.mp3