Padre Kanozire Boniface: Kazi ya kesi ya Munzihirwa kutangazwa mwenye heri inaendelea vizuri pa Roma

Miaka makumi mbili nan nane kabla ya kuuawa kwa Askofu Mkuu wa Bukavu Monseigneur Munzihirwa Mwene Ngabo Christophe mnamo siku makumi mbili na tisa Oktoba elfu moja mia tisa makumi tisa na sita katikati mwa jiji la Nyawera huko Bukavu. Sababu ya kutangazwa kwake kuwa mwenye heri inaendelea pa Roma. Padre Kanozire Boniface akifuatilia katika nafasi yake kama makamu mtangazaji wa Sababu ya Munzihirwa. Yeye ndiye Mgeni wetu, yuko kwenye maikrofoni ya Jean Kasami.

/sites/default/files/2024-11/201124-p-s-invitebukavuabbekanozirebonifaca-00-web.mp3