Anatujia kutoka Maniema, mgeni wetu ni mratibu wa huduma ya kitaifa ya uendelezaji wa ufugaji wa familia na vifaa vinavyohusiana, SENAPEFIC kwa ufupi. Enjenia IDUMBO BIN MUNGAZI Sylvain anatufafanulia katika mahojiano yake na Florence KIZA LUNGA hali ya ufugaji wa Maniema.
/sites/default/files/2025-01/140125-p-s-invitekinduidumbobinmungazisylvain-00-web.mp3