Siku ya Utalii Duniani: Huko Goma, ukosefu wa usalama unawaweka wanafunzi kubaki madarasani, hivyo kuwanyima kugundua utajiri wa eneo lao. Mkuu wa chama cha shule za kibinafsi zilizoidhinishwa, ASSONEPA katika Kivu Kaskazini anaomba amani irejeshwe ili kuruhusu watoto kufaidika na masomo ya matembezi na ugunduzi kuzunguka na nje ya jiji. Jules Kihuo Ndonga alipokelewa na Rosalie Zawadi, na yeye ndo mgeni wetu wa siku. Tufuate.
/sites/default/files/2024-10/041024-p-s-invitegomajuleskihuondongaassonepa-00-web.mp3