ESPOIR LUKOO : Tunaleta malalamiko mbele liwali na tunachunga azimio zake

 

Des habitants de Kitshanga, dans la chefferie de Bashali, territoire de Masisi (Nord-Kivu), réfugiés devant la base des casques bleus de la MONUSCO après la prise de la cité par la rébellion du M23. Jeudi 26 janvier 2023.
Ph. Kitshanga Muhindo Mbesta.(Photo d'illustration)

Mgeni wetu anatokea Goma. Ni Bwana ESPOIR LUKOO, Katibu Mkuu wa Shirika lisilo la kiserikali la “SOLIDARITE POUR LA PROMOTION SOCIALE ET LA PAIX « SOPROP kwa kifupi. Shirika hili lilipanga wiki iliyopita huko Goma kiako cha mazungumzo kuhusu Kupunguza hatari za Ulinzi zilizorekodiwa katika tarafa za Masisi na Lubero. Anahojiwa na Bernardine Diambu.