Jeannot Kihoma: Bomu inakuwa na hatari kali, inaomba kufanya angalisho na vifaa ya vita

Leo tunamkaribisha Jeannot Kihoma, kiongozi wa timu ndani ya SYOPADI, ambayo ni muungano wa mashirika ya wakulima kwa ajili ya maendeleo shirikishi, yanafanya kazi katika mapambano dhidi ya makombora katika eneo la Beni huko Kivu Kaskazini. Anatoa wito kwa wakazi wa eneo hilo kujiepusha na kugusa vifaa visivyojulikana. Mukumbuke kuwa kila mwaka, tarehe ine Aprili ni Siku ya Kimataifa ya Uhamasishaji na Usaidizi kwa tatizo la Makombora. Anazungumza juu ya mada hii na Sadiki Abubakar.

/sites/default/files/2024-04/090424-p-s-invitebenijeannotkihoma-00-web.mp3