Daktari Gisele Kilomba: Kuwa na mafuta mingi mwilini si vema kwa afya ya mwanadamu

 

Médecin directeur de la Clinique Ma Famille de Beni (Nord-Kivu), Dr Gisèle Kilomba
Radio Okapi/Ph. Marc Maro Fimbo

Ulimwengu uliadhimisha Siku ya Unene Duniani siku ya kwanza tarehe ine Machi. Ni kubadili mitazamo na kupigana dhidi ya chuki iliyo karibu ili janga hili lichukuliwe kama ugonjwa halisi. Je, tunamaanisha nini kwa unene? Je, ni matokeo gani na jinsi ya kuyazuia? Daktari Gisele Kilomba, mkurugenzi wa matibabu wa kliniki ya "Ma famille" huko Beni anajibu wasiwasi huu katika mahojiano haya na Sadiki Abubakar.