Charles Balagizi, mkurugenzi wa kisayansi wa OVG, ndiye mgeni wetu leo. Anazungumza kuhusu wito huu uliotolewa kwa wakazi wote, hasa wakimbizi kutoka mhimili wa Sake-Masisi, kuwa waangalifu kuhusu hatari inayohusishwa na mkusanyiko wa hewa ya ukaa katika maeneo fulani karibu na kambi za wakimbizi. Charles Balagizi akijibu maswali ya Sifa Maguru.
/sites/default/files/2024-03/050324-p-s-invitegomacharlesblagizi-00-web.mp3