Olive Mudekereza, mbunge wa taifa aliye tajwa na ceni mchaguliwa muji wa Bukavu, katika jimbo la Kivu ya kusini

Mwalikwa wetu wa siku ni mbunge wa taifa Olive Mudekereza, aliye tajwa kwa mda na ceni mchaguliwa muji wa Bukavu, katika jimbo la Kivu ya kusini. Kiongozi wa chama Apocm, -Alliance des Paysans, des Ouvriers et de la Classe Moyenne-katika mkusanyiko wa kisiasa AAAP, ame sema kuhusu madayi anao tayarisha katika ubunge wa sasa, yaani usalama, ujenzi wa viwanda na ma barabara, mlimo na nishati. Mbunge Olive Mudekereza ana omba wanasiasa wote wa Kivu ya kusini wajiunge pamoja na waungane mkono kwa maendeleo ya jimbo lawo. Ali hojiwa na mwenzetu Jean Desire Kanyama. /sites/default/files/2024-01/invite_olive_mudekereza.mp3