Christian Barungu ni msimamizi na mawasiliano na uhusiano wa umma katika chuo kikuu cha Ufundishaji, ISP Bukavu.

Christian Barungu ni  msimamizi na mawasiliano na uhusiano wa umma katika chuo kikuu cha  Ufundishaji, ISP Bukavu. Jean Kasami alikutana naye huko Muhumba akiwa na kikundi cha wanafunzi karibu miya tano katika sehemu inayojulikana kwa kawaida Six maisons. Kwa nini wanafunzi hawa hawa wapya wa ISP walikuja kutembelea kambi ya maprofesa na wafanyakazi wengine wa  taasisi yao?  Mwongozi wao Christian Barungu anajibu swali hili na mengine mengi kwenye kipaza sauti cha Jean Kasami /sites/default/files/2024-01/invite_swahili_bukavu_web.mp3