Kikao cha urejeshaji ardhi kuhusu maendeleo ya mkakati jumuishi wa ardhi wa mkoa ilifungwa Ijumaa tarehe makumi tatu na moja januari, 2025 mjini Bunia. Mkutano huu uliowakutanisha viongozi mbalimbali wa kimila, watu mashuhuri na mawakala wa huduma mbalimbali za serikali, ulilenga kuliwezesha jimbo kuwa na waraka wenye uwezo wa kutatua migogoro mingi ya ardhi inayoikabili Ituri. Mgeni wetu ni Bienfait Drabu, meneja wa mradi katika Chuo Kikuu cha Université Chrétienne Bilingue du Congo, ambaye anarejea kuhusu siku tatu za kazi. Lakini pia, mapendekezo yaliyotolewa kwa serikali, kuunga mkono mbinu hii. Bienfait Drabu anazungumza na Ezechiel MUZALIA.
/sites/default/files/2025-02/070225-p-s-invitebuniabienfaitdrabu-00-web.mp3