Luteni Kanali Kevin BYABATO : MONUSCO ilihusika katika usalama na vifaa vya uchaguzi wa 2023

Mgeni wetu katika idhaa hii ni Luteni Kanali Kevin BYABATO, msemaji wa kijeshi wa MONUSCO, aliyeko Goma. Katika mahojiano na Redio Okapi, anaangazia kuhusika kwa kikosi cha MONUSCO katika uendeshaji mzuri wa uchaguzi mashariki mwa DRC tarehe makumi mbili Disemba. Kando ya hiyo, anarejea ukweli kwamba kikosi cha Umoja wa Mataifa kilizuia, na FARDC, uvamizi wa wapiganaji wenye silaha katika vijiji kadhaa waliotaka kuvuruga usalama wa eneo hilo. Mahojiano na Jules NGALA WAMONA.

/sites/default/files/2024-01/invite_goma_col_byabatosur_securite_a_lest-web.mp3