Afani Idrissa Mangala, liwali wa jimbo la Maniema

Mwalikwa wetu ni liwali wa muda wa jimbo la Maniema. Afani Idrissa  Mangala azungumza  kuhusu mazingira magumu ya kazi ya waendeshaji uchumi wa jimbo hilo  na hiyo  serikali jimboni  inafanya ili  kurekebisha hali hiyo. AFANI IDRISSA MANGALA anajibu kwa  maswali ya Florence KIZA LUNGA./sites/default/files/2023-06/invite_swahili_web_gouv_maniema.mp3