Katika jimbo la Bas-Uélé, wajumbe kutoka Ofisi Ndogo ya OMS/Kisangani walitembelea huko wiki iliyopita. Ziara hii ilikuja wakati ambapo Kitengo cha Afya cha Mkoa kilikuwa kimemaliza awamu ya kwanza ya kampeni ya chanjo iitwayo, IPVS, ni Uimarishaji wa mara kwa mara wa chanjo za utaratibu za watoto. Lengo la misheni hii lilikuwa ni nini? Na OMS inafanya kuthamini gani kuhusu shirika la awamu hii ya kwanza ya IPVS? Daktari Juvénal MUKUTA ndo mgeni wetu kutoka OMS/Kisangani, anazungumza na Jacques MUKONKOLE /sites/default/files/2022-11/28112022-p-s-invitedrjuvenalmukutaomskisangani-00_web.mp3