Bita Byangoyi, mratibu wa jimbo wa Chama cha Wanawake Vipofu wa Kivu Kusini

 

Watu vipofu na wenye ulemavu wa macho wa Kivu Kusini wanadai kuzingatiwa zaidi kwa jamii kwa ajili ya kuunganishwa upya katika jumuiya. Watu hawa wanaoishi na ulemavu wanatoa wito kwa serikali kuwasaidia katika kujifunza ufundi kwa ajili ya kuwawezesha kujitegemea na kuwasomesha watoto wanaoishi na aina hii ya ulemavu. Mgeni wetu ni Bi BITA BYANGOYI, mratibu wa jimbo wa Chama cha Wanawake Vipofu wa Kivu Kusini, akizungumza na Emmanuel ELAMEJI wa Kabedi. 

/sites/default/files/2022-10/241022-p-sw-invitebitabyangoyibukavu-00_web.mp3