Mwezi wa Oktoba umetolea kuongeza ufahamu na uchunguzi wa hiari wa cancer ya matiti. Ili kulizungumzia, tutampokea kama mgeni leo, Daktari Gisèle Kilomba, mkurugenzi wa matibabu wa kliniki ya Ma Famille huko Beni, jimboni Kivu Kaskazini. Atatufafanulia namna gani ugonjwa huu unatokea, hatari na pia namna ya kuuepuka.
Daktari Gisèle Kilomba anazungumza na Marc Maro Fimbo.
/sites/default/files/2022-10/17102022-invitee-swahili-docteurgiselekilombasurlecancerdesseinsweb.mp3