Wafanyabiashara wanao badilisha feza wanauwawa mara nyingi na majambazi wasio julikana katika mji wa Goma . Bwana Aimé FIKIRI Justin ni msemaji wa Chama cha wafanyabiashara wanao badilisha fedha katika jimbo la Kivu ya Kaskazini, Association des Cambistes du Nord-Kivu, ACANOKI kwa kifupi. Anazungumzia suala hilo. Anajibu kwa maswali ya Denise Lukesso/sites/default/files/2022-10/14102022-p-s-inviteswahili-00_web.mp3
Aimé Fikiri , msemaji wa chama cha wafanyabiashara wanao feza jimboni Kivu ya Kaskazini
Dans la même catégorie

Mchungaji Jems BIENSI : Ndugu zetu wanaoendelea kubeba silaha na kuleta maafa waachane na ile maneno
19/02/2025 - 16:46
L'invité swahili, Émissions /