René Luanda : Tunaona namna ya kuongeza maji ya kunywa kwa wakimbizi wa kambi ya Kigonze

Huko Bunia, ofisi ya kitaifa ya maji vijijini inatekeleza mradi wa kuendeleza visima viwili vya maji ya kunywa na kukarabati vingine vitatu vilivyoharibika katika eneo la watu waliokimbia makazi yao la Kigonze. Kazi hii inafadhiliwa na Mfuko wa Kitaifa wa Fidia kwa Waathirika (FONAREV). René Luanda, mkurugenzi wa mkoa wa ofisi ya kitaifa ya maji vijijini huko Ituri, anaelezea mradi huu na athari zake katika mahojiano haya na Sadiki Abubakar.

/sites/default/files/2025-02/060225-p-s-buniainvitereneluanda-00-web_.mp3