Stéphanie Mbafumoja, msichana wa mji wa Beni

Ni maana gani msichana wa Beni anatoa kwa Siku ya Kimataifa ya Msichana, ni nini thamani yake kwake, na ni jitihada gani zinazopaswa kufanywa ili siku hii iwe ya manufaa kwa wasichana wote? Tunampokea kama mgeni Stéphanie Mbafumoja, ambaye ni musichana moja kati ya viongozi wa jumuiya katika jiji la Beni. Anazungumza na Marc Maro Fimbo/sites/default/files/2022-10/121022-p-s-inviteestephaniembafumoja-00_web__0.mp3