Daktari Sephora NYOMI: Magonjwa ya kifafa na akili kucheza imeonekana sana inchini kwetu

Daktari Sephora NYOMI, mkuu wa Mpango wa Kitaifa wa Afya ya Akili huko Ituri ndiye mgeni wetu. Anatuambia kuhusu Mpango wa Kitaifa wa Afya ya Akili kwa ushirikiano na miundo inayofanya kazi katika huduma ya watu wanaougua kifafa na ugonjwa wa kisaikolojia ambao wamekuwa wakiongoza kampeni ya uhamasishaji wa raia tangu siku ya kwanza huko Bunia juu ya magonjwa haya mawili. Ni ndani ya mfumo wa Siku za Kimataifa zilizowekwa kwa magonjwa haya mawili zinazoadhimishwa mnamo tarehe kumi na tatu Februari na makumi mbili na tatu Machi 23. Daktari Sephora NYOMI anahojiwa na Martial Kiza Byamungu.

/sites/default/files/2024-03/290324-p-s-invitebuniadrsephoranyomi-00-web.mp3