Daktari Stanislas Kakomba : Wakazi wa Kowe na Tubila wanaishi katika hali mbaya kutokana na mafuriko

Tunamkaribisha, kama mgeni, Daktari STANISLAS KAKOMBA, mganga mkuu wa mtaa wa afya wa Ferekeni, katika jimbo la Maniema. Anazungumzia tishio la kiafya linaloletwa na mafuriko ambayo yanaathiri angalau maeneo mawili ya afya katika taasisi yake kufuatana na  kuongezeka kwa maji ya Mto Kongo. Daktari STANISLAS KAKOMBA azungumza na Florence KIZA LUNGA.

/sites/default/files/2024-04/260424-p-s-kinduinvitedrstanislaskakomba-00-web.mp3